Wednesday, 16 March 2016

Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

[​IMG]
Jaman msaada wana MMU nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani ,kwenye gari ,ofisini au chuoni(yaani kwa ufupi popote pale) huwa nachanganyikiwa yaani na lose control mwili unasisimka na mgegedo nao unasimama wima,yani sometimes hadi inakuwa aibu unasimama hadi mbele za watu so long as nimeiona chupi.

Weekends huwa napenda sana kwenda beach,tofauti na watu wengine kabisa kwamba wanaenda beach kula upepo mzuri mimi huwa naendaga kuangalia chupi tu za wanawake yaani hapo najisikia rahaaaa,na wadada mnavyopenda kuvaa vichupi beach mimi huwa nakua tu hoi.....!!

Sasa nataka mniambie hii ni hali ya kawaida au ugonjwa.

Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin