Sunday, 3 January 2016

UKATILI: MSICHANA WA KAZI ANUSURIKA KUBAKWA NA BOSS WAKE WA KIHINIDI, ALIMUITA CHUMBANI KWAKE KISHA AKAANZA KUMLAZMISHA KUMVUA NGUO..!


Hii nidyo picha iliyonaswa na mtandao wa maskanibongotz ikimuonesha muhinidi akimnyanyua mguu bint wa kitanzania na kujaribu kumuingilia kinguvu.
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua muhindi mmoja mkazi wa Posta Jijini Dar ambae hakufahamika jina lake hivi karibuni alinaswa akitaka kumbaka msichana wake wa kazi.
Kwa mujibu wa mtoa habari hii ambae ameomba hifadhi ya jina lake amesema kuwa muhindi huyo pia ni bosi wa mambo ya filamu Tanzania, alinaswa akiwa chumbani kwake  na msichana huyo huku akimvua kwa nguvu jeans yake  kama picha inavyoonekna.
Credit: maskanibongotz

<<NEXT 6>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 2>>

<NEXT 1>>

UKATILI: MSICHANA WA KAZI ANUSURIKA KUBAKWA NA BOSS WAKE WA KIHINIDI, ALIMUITA CHUMBANI KWAKE KISHA AKAANZA KUMLAZMISHA KUMVUA NGUO..! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin