Saturday, 2 January 2016

UJUMBE HUU MZITO WA LULU UMEWALIZA WENGI AKIWA KAMUANDIKIA MAMA YAKE DAH!! SOMA HUMU!!Mwigizaji nguli almaarufu kama Lulu pamoja na kuwa jina lake la kuzaliwa ni Elizabeti michael umewagusa wengi wakati alipotumia dakika zake kadhaa kuandika ujumbe huu mzito na unao gusa ukiwa kama dedication kwa mama yake kwenye siku yake ya kuzaliwa lakini hakika unastahili kuwa jumbe unao walenga kina mama wote!!.

Hakuna mwana burudani anayefatilia tathinia ya burudani hapa nchini asiyejua kwa jinsi binti huyu machachali kabisa kwenye kioo cha luninga kupitia filamu mbalimbali jinsi alivyo pata misukosuko mbali mbali taklibani miaka 5 iliyopita achia mbali kashifa na maneno makali au ya kejeli toka hasa kwa maadui wa kazi yake(mana wasio mpenda ni hakika wanachukizwa tu na mafanikio ya kazi yake kifupi ni haters!!) hebu soma kile kilichotoka uvunguni mwa moyo wa Lulu soma hapo chini kwa umakini mkubwa kabisa......"Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki WA kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna Namna ninayoweza kukuelezea Na watu wakapata picha halisi ya ulivyo  Una mapungufu yako...Ndio sikatai 
Una mabaya yako...Ndio maana hata ww NI binadamu sio malaika Lakini macho yangu Na Moyo Wangu sikutazami Kama inavyokutazama dunia Na watu wake....Wewe NI Wangu Kwa Jua au Mvua,Kufa au Kupona,kucheka au Kulia...ur always there Mama angu
Watu WA duniani washaniona sifai Kwa maneno machafu Na hata Vitendo,Dah lkn ww unaniona Kama kitu kinachozidi kuwa Na thamani kila iitwapo Leo 
Ombi Langu Kwa Mungu aendelee Kukutunza kwaajili yangu,kwaajili ya familia Yetu Na kila aliye karibu yetu...Nakupenda Jana,Leo,Kesho Na Milele
Nilitamani niandike machache lkn nimeshindwa kujizuia
Happy birthday Mama"

<<NEXT 6>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 1>>

UJUMBE HUU MZITO WA LULU UMEWALIZA WENGI AKIWA KAMUANDIKIA MAMA YAKE DAH!! SOMA HUMU!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin