Saturday, 2 January 2016

TOP 7 YA VITU VYA MSINGI AMBAVYO MSICHANA HUWA ANAPENDA KUFANYIWA AKIWA KITANDANI.SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE


Ni jambo rahisi sana kwa mwanaume kujikita zaidi katika swala la kufanya mapenzi na kupeana raha kuliko kuhusika na mwanamke wake,hii hutokana na tamaa ya kujiridhisha mwenyewe.


Basi kama hufanyi hivi vitu hapa chini  basi humridhishi kiasi kile ambacho yeye alikuwa anakitarajia kutoka kwako

1.MICHEZO YA MWANZO
Msichana anahitaji kusisimuliwa kwanza kabla ya tendo lenyewe,wakati huo mwanaume huwa yuko tayari kwa ajili ya mchezo wenyewe,mwanamke anahitaji muda kupasha moto kwa ajili ya tendo lenyewe.Atakushukuru sana kama ukimuandaa kwa ajili ya tendo lenyewe,mfano mazungumzo ya kimapenzi,busu na kugusana,atakapo kuwa tayari utajua tu na itakuwa vizuri kuanza safari yenyewe

2.UTULIVU.
Njia nyingine ya kumfanya aridhike ni kumpa muda wa kurelax na kutulia na kuamua  kufanya kile anachotaka kukifanya,huo ndio muda anapoweza kufikiria akupe kitu gani ambacho unakitaka na kukuridhisha

3.CHUKUA MUDA WAKO.
Chukua muda wako kwa ajili ya kumuandaa kwa ajili ya tendo lenyewe hii iakufanya kuwa uzipitie hatua zote kwa ufasaha na kumfanya afurahie tendo la ndoa

4.UTAMBUE MWILI WAKE.
Tofauti kati ya mwanamke anaye tambua uzuri na ubaya  wa kufanya mapenzi huwa upo katika swala la kutambua sehemu za mwili wake kumbuka ya kwamba wakati unamtomasa hakikisha unaweka kumbukumbu ya sehemu za mwili wake ambazo anajisikia raha na endelea kuzishughulikia sehemu hizo,ili kuhakikisha kuwa yuko katika kiganja chako,hakikisha kuwa hakiri yako iko kwake ili kuweza kumpa vitu adimu kwa ajili ya ustawi wa penzi lenu.

5.TUMIA UWEZO WA ULIMI WAKO.
Usidharau uwezo wa ulimi wako wakati wakufanya mapenzi,sawa wasichana wengi hufika kileleni kwa njia ya kuingiziwa lakini pia uwezekano wa matumizi bora ya ulimi pamoja na mikono yako vitamfanya ashindwe kujizuia na hataweza kukuacha kwa ajili ya mambo adimu atakayokuwa akiyapata.

6.WANAWAKE KWANZA.
Hakikisha unampa maraha ya kutosha kabla ya wewe kwanza,hakuna kitu kibaya kama kumuacha yeye akiwa kitandani anagala gala kwa hamu wakati huo wewe umekuwa umemaliza haja zako.Kama unatatizo la kufika kileleni mapema hakikisha unatafuta mbinu zitakazokusaidia kufika kileleni kwa ufasaha.

7.KUWA MSTAARABU.
Baada ya kukaa kimya au kulala hakikisha unamaliza kwa kupiga stori mbalimbali za kumsifia mara baada ya kufanya mapenzi,mkumbatie na mzungumze kwa sauti za kimapenzi.Usimfanye aonekane kama kipande cha muwa baada ya kukitumia unakitupa kule,huna shida nacho tena.
Imegundulika kwamba wanaume wengi wame kuwa hawana tabia ya kuwachunguza wanawake zao wanahitaji vitugani wakati wa kufanya mapenzi na matokeo yake yamesababisha mapenzi mengi kutodumu kwa sababu ya wanaume kujipendelea wao wenyewe.

WEKA MAONI YAKO HAPA

<<NEXT 6>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 1>>

TOP 7 YA VITU VYA MSINGI AMBAVYO MSICHANA HUWA ANAPENDA KUFANYIWA AKIWA KITANDANI.SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin