Sunday, 3 January 2016

PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA CHALI!! WACHUNIANA MBAYA, SHILOLE AVUNJA MZIZI WA FITINA AIFUTA NA TATTOO YA JINA LA NUH!!Wadakuzi wamumusa ubuyu hadharani duuh!! kumbe penzi la mwana dada shishi baby wakuitwa shilole na yule dogo dogo wake nuh mziwanda ambalo lilikuwa likitikisa kwa headline za hapa na pale mara mtu kapigwa club, mara mtu kafumaniwa kwenye gari heeeeh!! mara mtu kampachika mimba mchepuko basi ninonino juu ya nonino tu.

Hatimaye yale mahaba niue ya wawili hawa yamekuwa over!! tena over nzito kufuatia hatua aliyoamua kuchukua shilole ya kuigeuza tattoo ya jina la Nuh iliyokuwa kifuani kwake kuwa picha ya kipepeo hahaha dah wadakuzi wanafatilia kwa kina kujua je Nuh ataigeuza tattoo ya shiole kuwa ua? yetu macho japo kwa hawa wawili walivyo na mikasa ya kiki mmmh usikute nyimbo mpya na swaga zao za nataka sitaki. Toa maoni yako kuhusu hili mpendwa msomaji.

<<NEXT 6>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 2>>

<NEXT 1>>

PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA CHALI!! WACHUNIANA MBAYA, SHILOLE AVUNJA MZIZI WA FITINA AIFUTA NA TATTOO YA JINA LA NUH!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin