Friday, 1 January 2016

Mwaka Mpya 2016 Ulivyokaribishwa Usiku wa Jana Escape 1, Mikocheni ...Picha


Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Madee akiwaburudisha wananchi waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.

<<NEXT 6>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 1>>

Mwaka Mpya 2016 Ulivyokaribishwa Usiku wa Jana Escape 1, Mikocheni ...Picha Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin