Tuesday, 26 January 2016

AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA HUKO DODOMA BAADA YA BASI KUGONGANA NA NOAH USO KWA USO>>>>

 

 Ajali hii iliyotokea maeneo ya Chamwino, Dodoma ikilihusisha basi la Adventure na gari binafsi aina ya Noah inadaiwa kuchukua uhai wa watu watatu.
Tuwaombee marehemu wapumzishwe mahala pema

AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA HUKO DODOMA BAADA YA BASI KUGONGANA NA NOAH USO KWA USO>>>> Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin