Wednesday, 30 December 2015

Masogange Awatia Njaa Vidume Kwenye Krismasi Hii, Afanya Haya ya Ajabu Kwenye Kochi

Mwanadada anasifika na kuwa maarufu sababu ya 'nundu,  yake, Agnes Gerald aka Masogange alitupia picha kwenye ukurasa wake mtandaoni  akiwa amekaa kwenye kochi sebureni na kutoa salamu zake za krisimasi kwa mashabiki wake kitendo ambacho kilisababsisha vidume wengi kupagawa na picha hizo na kujikuta wakiropoka maneno ya kizungu, mara , sexy, cute, amazing,beautiful....love you.....
Hebu jionee mwenyewe;

Merry Christmass-Masogange aliandika


Masogange Awatia Njaa Vidume Kwenye Krismasi Hii, Afanya Haya ya Ajabu Kwenye Kochi Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin