Saturday, 26 December 2015

Edward Lowassa Atimkia Monduli Kwenda Kuchanga Ng'ombe Kijijini Baada ya Kukosa Urais 2015
Picha za Lowassa Asubuhi ya Leo zimezagaa Mitandaoni zikionyesha akichunga ng'ombe kijijini kitendo ambacho kimezua gumzo kutokana na kauli yake aliyoitoa wakati wa uchaguzi kuwa akishindwa atarudi kijijini kwao kuchanga......

Je ndio ameamua kutimiza ahadi yake ama anatafuta kiki tu....

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

Edward Lowassa Atimkia Monduli Kwenda Kuchanga Ng'ombe Kijijini Baada ya Kukosa Urais 2015 Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin