Tuesday, 15 December 2015

BIFU LA MANGE KIMAMBI NA DR MWAKA ;MANGE AMSHUKIA DR MWAKA BAADA YA KUTOKEZEA KWENYE VIDEO YA DIAMOND..


mangekimambi_ - Wapenzi Mnajua nini tuelewanae. Huyu Dr.Mwaka alikuwa mwalimu hajasomea udoctor popote pale zaidi ya Google Leo anakutibuje Wewe ugumba ???? Mnajua vitu vingine vinahitaji akili tu Jamani?Hata babu wa Loliondo kuna Watu waliapa kuwa walitibiwa Na babu wa Loliondo Ni kwamba tu ilikuwa Ni Muda wao wa kupona it had nothing to do Na babu wa Loliondo. . . Huyu Dr. Mwaka Sio Daktari wa kusomea anatoa wapi ujuzi wa kukutibu Wewe kizazi.??? Na pia serikali iko wapi? Huyu jamaa anawamanua wanawake Mpaka huko chini anawacheki Watu Mpaka wanaku na maumivu Ni Nani anampa mamlaka ya kuwacheki huko chini wakati Sio Daktari??? Hata madkari wanaongea sana Sasa Hivi wanasema Huyu jamaa a anajitangaza sana Mpaka wanawake Wanaacha kwenda hospital wanaenda huko kwake kuliwa pesa zao. Seriously Naomba kurudia tena Hivi mtu ambae Sio Daktsri Bigwa wa wanawake anakutibuje ugumba? Kwa ujuzi gani? Na mkitaka kujua Huyu jamaa Ni tapeli tu eti anatoa Na dawa za kufanya mwanamke awe mtamu , yes Huyu jamaa anatoa Mpaka dawa za utamu, Anyways point Ni kwamba usije sema hukujua nimeshaongea Na ntaendelea kuongea Kila wiki Mara moja ntakuwa naongelea swala la Doctor Mwaka... Tafadhali mtag rafiki yako, dada yako , Aunty yako kwenye Hii posti Na posti iliyopita Ili Na yeye ajue. Na Wewe pia waambie wanawake wenzio mnatapeliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

<<Next 1>>

<<Nenxt 2>>

<<Next 3>>

<<Next 4>>

<<Next 5>>

BIFU LA MANGE KIMAMBI NA DR MWAKA ;MANGE AMSHUKIA DR MWAKA BAADA YA KUTOKEZEA KWENYE VIDEO YA DIAMOND.. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

1 comments:

LinkWithin