Friday, 6 November 2015

ZARI ‘AMMAIND’ DEMU ALIYEJICHORA TATUU JINA LA DIAMOND


H
Mahaba kweli hayazuiliki! Mrembo mmoja wa mjini ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni alijikuta akikejeliwa na mpenzi wa Nasibu Abdul “Diamond’, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’ baada ya mdada huyo kutupia picha mtandaoni akiwa amejichora tatuu yenye jina la Diamond kwenye matiti.

 Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’.
Baada ya mrembo huyo kuitupia picha hiyo na kujinasibu kuwa anampenda sana msanii huyo, Zari akaiona na kuonesha kuwa ana wivu kwa laazizi wake ‘alimtag’ Diamond kwa kuandika ‘Seen this?’ kisha kumkejeli demu huyo kwa kumwambia akae mbali ‘asilete shobo’.
Baada ya Zari kuandika hivyo, mrembo huyo alijikuta akipewa za chembe na wafuasi wa Diamond kwa kujipendekeza kwa mpenzi wa mtu.

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

ZARI ‘AMMAIND’ DEMU ALIYEJICHORA TATUU JINA LA DIAMOND Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin