Tuesday, 10 November 2015

TAARIFA KUTOKA KIBO GARDEN BAR & RESTAURANT DODOMA KUHUSIANA NA WABUNGE NA WANAVYUO PAMOJA NA WAGENI WANAOTARAJIA KUFIKA MKOANI HAPA


Kibo Garden Bar & Restaurant iliyopo Dodoma inapenda kuwakaribisha wageni wote waliopo Dodoma pamoja na wale wanaotarajia kufika Dodoma hivi karibuni kama vile Wabunge, wanavyuo, wafanya biashara mbali mbali na wengine wote wanaokuja Dodoma kwa ajili ya shunguli mbali mbali, Inapenda kuwakaribisha mahali hapa Ambapo ni sehemu yenye mandhari nzuri ambapo unaweza kukaa na kupata kinywaji na chakula kizuri na mtu wa rika lolote lile kama vile  kijana mtoto ama mzee, Kiribuni sana Kibo Garden Bar & Restaurant iliyopo njia panda ya Area D karibia na Mataa ya Bara barani

TAARIFA KUTOKA KIBO GARDEN BAR & RESTAURANT DODOMA KUHUSIANA NA WABUNGE NA WANAVYUO PAMOJA NA WAGENI WANAOTARAJIA KUFIKA MKOANI HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin