Thursday, 5 November 2015

MIRANDA AMKUMBUKA BIEBERNew York, Marekani
ALIYEWAHI kuwa mpenzi wa staa wa Pop, Justin Bieber, Miranda Kerr juzi kati katika kusherehekea kuwakumbuka wafu/mizimu (Halloween) ameibuka na kuachia video ya kumkumbuka Bieber.

Aliyewahi kuwa mpenzi wa staa wa Pop, Justin Bieber, Miranda Kerr.
Katika video hiyo aliyoiachia katika mitandao ya kijamii, ilimuonesha Kerr (32) akicheza Wimbo wa Where Are U Now ulioimbwa na Bieber (21).Video hiyo imeanza kuibua maswali miongoni mwa mashabiki wa Kerr kwa kuona kuwa huenda ikawa safari ya kurudiana na Bieber imekwiva.

MIRANDA AMKUMBUKA BIEBER Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin