Thursday, 5 November 2015

MARTIN KADINDA AELEZA JINSI ALIVYOENDA CHINA KUMWONA JACKY CLIFF AKIWA GEREZANI

 Jackline Patrick Cliff ni video queen wa Tanzania ambaye amefungwa gerezani hukoMacao China kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya, bestfriend wake Martin Kadinda kaongelea jitihada zake kwenda kumuona gerezani, hapa kwenye hii video hapa chini Martin anaelezea alivyokwenda China kumsalimia.

MARTIN KADINDA AELEZA JINSI ALIVYOENDA CHINA KUMWONA JACKY CLIFF AKIWA GEREZANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin