Thursday, 22 October 2015

UNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKE


Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria huenda akarudi tena kwa mpenzi wake wa zamani baada ya kuona picha za mrembo huyo ambaye sasa anaonekana kuwa mrembo zaidi ya kipindi yuko nae penzini. 
Davido alishinda taji la Best Male Artist tuzo za katika MAMAs sasa ni kama anategwa na mrembo huyo ambaye inasemekana kuwa amekuwa akipiga picha tata na kisha kuziweka katika mtandao wa kijamii wa instagram ili kujaribu kumvutia, baadhi ya p

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

icha nimekuwekea hapa chini>>>

UNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin