Monday, 26 October 2015

MTOTO AMTESA ODAMA, SOMA HAPA

Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku.
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia wakati mgumu kwa sababu kila mara ilikuwa lazima aweke vocha kwenye simu na kuulizia hali ya mtoto wake hatua kwa hatua.
“Niliteseka sana, nashukuru tumemaliza kampeni maana kila wakati nilikuwa nauliza hali ya mtoto kama amekula, ameanguka au hata amelala mara ngapi, nilihisi kama nataka kupata kichaa,” alisema
Odama.

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

MTOTO AMTESA ODAMA, SOMA HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin