Saturday, 26 September 2015

TAZAMA PICHA!! WACHAWI WATATU WADONDOKA NA UNGO WAKISAFIRI ANGANI HUKO NJOMBE




Watu wanaodaiwa kuanguaka kwa imani za kishirikina wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye gari la polisi.Watu Watatu ambao hawajajulikana majina yao jinsi ya kiume wamekutwa wameanguka katika kijiji cha Utiga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kwa imani za kishirikina.

Watu hao wakiondolewa na polisi eneo la tukio

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

Watu hao ambao hawajafahamika mara moja wanakotoka wanadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Songea Mkoani Ruvuma lakini walipofika katika kijiji hicho ndipo walipoanguka.

Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe

TAZAMA PICHA!! WACHAWI WATATU WADONDOKA NA UNGO WAKISAFIRI ANGANI HUKO NJOMBE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin