Monday, 7 September 2015

TAARIFA ZA UHAMIAJI KUCHUNGUZA URAIA WA ZITTO KABWE


Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.

<<BOFYA HAPA 1>>

<<BOFYA HAPA 2>>

<<BOFYA HAPA 3>>

<<BOFYA HAPA 4>>

<<BOFYA HAPA 5>>

<<BOFYA HAPA 6>>

TAARIFA ZA UHAMIAJI KUCHUNGUZA URAIA WA ZITTO KABWE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin