Tuesday, 22 September 2015

Mrembo wa Kenya TIARA Apigilia Msumari Uchaguzi Tanzania Adai Lowassa Ndio Chaguo la Mungu Kuwa Rais…Na Anamahaba ya Dhati Kwake


Mremo na Mwimaji Matata Kutoka Kenya Ambae haishiwi vituko TIARA Amejitokeza na  Kutoa Maoni yake kuhusu uchaguzi wa Tanzania kwa Kusema Kuwa Watanzania Tusiwe Waoga Kufanya Mabadiliko ya Serekali Kwa Kung’ang’ania CCM , Ameandika Hayo Kwenye Ukurasa wake wa Instagram , Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa Hata wao Huko Kenya Walifanya Mabadiliko ya Chama na Ndio yamewafikisha Hapo walipo sasa…..Amedai  Lowassa ni Chaguo la Mungu Hata TB Joshua Alishatabiri kuwa atakuwa Rais wa Bongo...Amedai Anamahaba makubwa na Hasa Mvi zake ndo zinamchanganya Kaisa....

Tiara Alishawahi Kutangaza Hadharani kuwa ana Mapenzi Mazito na Mwanamuziki Diamond

<<NEXR 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

Mrembo wa Kenya TIARA Apigilia Msumari Uchaguzi Tanzania Adai Lowassa Ndio Chaguo la Mungu Kuwa Rais…Na Anamahaba ya Dhati Kwake Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin