Wednesday, 9 September 2015

Mbuzi Aliyezaa Kiumbe Chenye Sura ya Binadamu, Umeipata?


Wakazi wa kijiji cha Nikiboe Kaunti ya Igembe nchini Kenya, wamepigwa na bumbuwazi ya mwaka baada ya kushuhudia mbuzi aliyezaa mtoto mwenye sura ya binadamu.

Akizungumza na waandishi wa habari mmiliki wa mbuzi huyo Beatrice Karimi, amedai hali hiyo imezua tafrani kubwa kijijini hapo huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina.

Kiongozi wa Ukoo huo Musa Murungi, amesema hii si mara ya kwanza kutokea kwenye Ukoo wao, akifafanua hali hii iliwahi kutokea miaka 20 iliyopita.

Chifu wa kijiji hicho na wazee wa familia, wameandaa tambiko kama sehemu ya mila zao ili kuzuia hali hii kutojirudia.

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

Mbuzi Aliyezaa Kiumbe Chenye Sura ya Binadamu, Umeipata? Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin