Thursday, 10 September 2015

JIMAMA ALIVYOPAGAWA NA TWANGA PEPETA NA KUJIACHIA NAMNA HII NI SHIDAAH AISEE , AMWAGA VIUNO WASANII WAMGOMBANIA


 Mke huyu wa mtu akiwasaulia wana
muziki wa Twanga Pepeta huku umati wa wawatu ukishuhudia live tukio hilo na wengine wakipiga picha kutumia kamera za simu zao

Kuna picha nyingi mbaya busara imetumika kuzirusha hewani picha hizi ndio angalau sio mbaya sana.


     Luiza Mbutu akiwashangaa wenzake
Wanamuzki wa kiume wa Twanga Pepeta wakigombea kucheza na jimama hilo

JIMAMA ALIVYOPAGAWA NA TWANGA PEPETA NA KUJIACHIA NAMNA HII NI SHIDAAH AISEE , AMWAGA VIUNO WASANII WAMGOMBANIA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin