Friday, 28 August 2015

WOLPER ASISITIZA JINA LAKE MBELE YA LOWASA KUWA YEYE NI JACK LOWASSA

 Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusizitisha kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku kadhaa zilizopita...
Jack Lowassa akisistiza jambo pembeni ni Aunt Ezekiel na katikati ni Shamsa Ford
Msanii wa Filamu Bongo Movies Jack Wolper akisalimiana na Lowassa mara baada ya kumpatia keki,ambapo jana mh.Lowassa alikuwa anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe

<<<NEXT 1>>>

<<<<NEXT 2>>

<<<<NEXT 3>>

<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>

<<<NEXT 6>>>

WOLPER ASISITIZA JINA LAKE MBELE YA LOWASA KUWA YEYE NI JACK LOWASSA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin