Thursday, 20 August 2015

WIMBI KUBWA LA WANAWAKE WENGI KUWA NA WATOTO BILA KUWA NA BABA WA MTOTO

Kumekuwepo na wimbi kubwa kwa hawa dada zetu, kuwa na watoto bila mume.Ukimuuliza anakwambia tumeachana na hawakotayari kuweka wazi sana.

Sasa mimi nashindwa kuelewa tatizo ni sisi wanaume, au ni hawa dada zetu?

Na je mwanaume inakuweje mpaka unafikia hatua ya kumwachia watoto mzazi mwenzio?

Na wewe dada inakuweje uone unaweza muishi na watoto bila mume hata kama hela ya kuwalea unayo?

Yaani jaribuni kuchunguza katika wasichana kumi hapa Bongo, wenye umri 25-35 saba wana watoto na ukiuliza kuhusu baba wa mtoto, au watoto utapewa ngonjera tu!

<<<NEXT 1>>>

<<<<NEXT 2>>

<<<<NEXT 3>>

<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>

WIMBI KUBWA LA WANAWAKE WENGI KUWA NA WATOTO BILA KUWA NA BABA WA MTOTO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin