Thursday, 13 August 2015

SUPER STAR WOLPER AKANUSHA KUWA MJAMZITO...NA KUSEMA MANENO HAYA MAKALI ATADHANIA NI YEYE KAYASEMA

DIVA kutoka Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefungukia tetesi zinazoendelea kuzagaa kuwa ni mjamzito na kusema hawezi kuwa katika hali hiyo kwa sasa kwa sababu anatumia ‘mpira.’
Akipepesa mdomo na Amani bila kugeuka nyuma, Wolper alisema kuwa, amechukizwa na habari kuwa ana ujauzito baada ya kupost picha ya kumpongeza Diamond kupata mtoto wa kike (Princess Tiffah) kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika kuwa na yeye yupo njiani kuleta mtoto.
“Nachukizwa sana na watu kuzusha kuwa mimi ni mjamzito. Jamani kupata mimba mpaka nipange tena nijue ni baba gani naweza kuzaa naye mwenye malengo lakini nje ya hivyo najali sana kwani natumia mpira siku zote,” alisema Wolper.

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<<NEXT 3>>>

<<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>>

<<<NEXT 6>>>

SUPER STAR WOLPER AKANUSHA KUWA MJAMZITO...NA KUSEMA MANENO HAYA MAKALI ATADHANIA NI YEYE KAYASEMA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin