Thursday, 13 August 2015

SHUHUDIA PICHA 25 ZA MAAJABU 7 YA CLUB 7 ILIYOPO DODOMA INAYOTARAJIWA KUFUNGULIWA WEKEEND HII


Club 7 & Ngalawa Bar ni Club ambayo ipo Mkoani Dodoma ambayo inategemea kufunguliwa wiki hii siku ya jumamosi Tar 15/8/2015, Club hii ni tofauti na club ambazo zipo Dodoma, Hii ndio itakuwa club ya kwanza yenye sehemu za starehe 7 tofauti kabisa ambapo unaweza ukajichimbia na mtu asijue kama upo humo! JUMAMOSI HII USIKOSE KWA KIINGILIO CHA BUKU 10 MLANGONI NA BIA 2 ZA BUREEE
<<<NEXT 1>>>

<<<<NEXT 2>>

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>

<<<NEXT 5>>

<<<<NEXT 6>>>

SHUHUDIA PICHA 25 ZA MAAJABU 7 YA CLUB 7 ILIYOPO DODOMA INAYOTARAJIWA KUFUNGULIWA WEKEEND HII Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin