Saturday, 8 August 2015

SHAMSA FORD NA NAY WA MITEGO SASA MAMBO HADHARANI, WADAI WAO NI WAPENZI KWA SASA


Hatimae Mwanamuziki Ney wa Mitego na Mrembo Shamsa Ford Wamekubali live Bila chenga kwamba wao ni Wapenzi na wanapika na Kupakuwa...Hiii imekuja baada ya Muda Mrefu Kukataa kuwa wao ni wapenzi...Nay na Shamsa Wameongea Hayo Kwenye Global Online TV ya Global Publishers......

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>

SHAMSA FORD NA NAY WA MITEGO SASA MAMBO HADHARANI, WADAI WAO NI WAPENZI KWA SASA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin