Friday, 14 August 2015

JAMANI HIVI ZARI HASSAN ZARI ANA MATATIZO GANI!!! TAZAMA HIZI PICHA ALIZOACHIA KWENYE MITANDAO

zari-10Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Imelda mtema
UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuwa atapiga picha moja ya utupu ili kuwakata vilimi wanaopenda kumzungumzia vibaya.
Zari ametoa kauli hiyo hivi karibuni kufuatia wafuasi wa Mtandao wa Instagram kumnanga kuwa hakutumia busara kuposti picha zake za nusu utupu akiwa mjamzito.
Kim_Kardashian_10Staa wa muziki duniani anayetokea nchini Marekani , Kimberly Kardashian ‘Kim Kardashian’.
Alisema kwa kuwa watu wameshindwa kumuelewa kipindi hicho, wakati ujao atapiga picha za utupu ili wamuone vizuri kama alivyofanya mwanamuziki wa Marekani, Kimberly Kardashian ‘Kim Kardashian’.
“Nitapiga ya utupu kabisa ili muone nikiwa mjamzito. Uzuri ni kwamba baba T (Diamond) ameshafikiria kuhusu kutafuta mdogo wa Princess Tiffah (mtoto wa Diamond),” aliandika Zari katika mtandao wake wa Instagram huku akitupia picha ya utupu ya Kim Kardashian akiwa mjamzito.

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<<NEXT 3>>>

<<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>>

<<<NEXT 6>>>

JAMANI HIVI ZARI HASSAN ZARI ANA MATATIZO GANI!!! TAZAMA HIZI PICHA ALIZOACHIA KWENYE MITANDAO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin