Monday, 31 August 2015

JACK WOLPER (LOWASSA) AMPA MAKAVU LIVE CHUCHU HANSY,AMWAMBIA AACHE UNAFIKI
Staa wa filamu nchini Jackline Wolper, ameonesha wazi kuchukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Chuchu Hansy ambae alikuwa ameungana nao katika kampeni za kumuunga mkono mgombea Urais kupitia umoja huoMh. Edward Lowasa na baada ya siku chache Chuchu Hansy ameondoka Ukawa na kuamia Chama cha Mapinduzi CCM... Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper amepost picha hiyo pamoja na kuandika maneno haya...

<<<NEXT 1>>>

<<<<<NEXT 2>>

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>>

<<<<NEXT 6>>>

JACK WOLPER (LOWASSA) AMPA MAKAVU LIVE CHUCHU HANSY,AMWAMBIA AACHE UNAFIKI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin