Friday, 7 August 2015

INSTAGRAM YA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ TISHIO..YAWA MAARUFU KWA SIKU MBILI YAFIKISHA FOLLOWERS 41,400

Unaweza ukashindwa kuamini kuwa kuna watu wana miaka zaidi ya 3 wapo kwenye Acount ya Instagram lakini hawaja wahi kufikisha Followers hata 50000 lakini hii ni kali zaidi kutoka kwa Mtoto wa Diamond Platnumz Tiffah, ambaye amezaliwa Jana.
Ni masaa machache tu tangu Msanii wa muziki Diamond Platnumz amfungulie Acount ya Instagram mwanae Tiffah, na kupost post mbili, hadi kufikia sasa acount inacheza na Followers 41.4K nakuendelea

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>>

INSTAGRAM YA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ TISHIO..YAWA MAARUFU KWA SIKU MBILI YAFIKISHA FOLLOWERS 41,400 Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin