Friday, 14 August 2015

HAMISA MOBETO AFUNGUKA NA KUDAI KUACHA U SISTER DU KWA AJILI YA KULEA MTOTO ALIYEZAA NA MAJEY

Mwanamitindo ambaye miezi michache iliyopita alibahatika kupata mtoto wa kike, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ amefunguka kuwa kwa sasa mambo ya usistaduu ameyaweka kando, anachokifanya ni kushika nafasi ya umama na kumlea mwanaye.
Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Hamisa alisema kuwa maisha yake yamebadilika kwani anafahamu akileta usistaduu kwenye kipindi kama hiki, hawezi kumlea mwanaye katika misingi sahihi.
“Mambo ya kisistaduu kwa sasa lazima yakae kando kwa vile nina majukumu ya kumlea mtoto kama mama,” alisema Hamisa.

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<<NEXT 3>>>

<<<<NEXT 4>>>

<<<<NEXT 5>>>

<<<NEXT 6>>>

HAMISA MOBETO AFUNGUKA NA KUDAI KUACHA U SISTER DU KWA AJILI YA KULEA MTOTO ALIYEZAA NA MAJEY Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin