Monday, 17 August 2015

CLUB 7 DODOMA YATIKISA KWENYE UZINDIZI,WATU WAKANYAGANA NA WENGINE KUZUILIWA MLANGONI KUTOKANA NA CLUB HIYO KUJAA
Maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria kwenye uzinduzi wa club 7 ambayo ni club mpya iliyofunguliwa rasmi wekeend hii, wakazi wa Dodoma walifurika kwenye club hiyo mpaka kucheza inakuwa ngumu kutokana na kujaa kwa club hiyi mpya na wengine kuziiliwa mlangoni kutoka na wingi wa watu, Paparazi wetu alikutana na baadhi ya wadau wa burudani wakilalamika kuwa wamejiandaa kuja kula bata lakini kutokana na watu kuwa wengi wao wamezuiliwa kuingia ndani na kutoa ombi kwa mmiliki wa club hiyo kuongeza ukubwa ili kuweza kuingiza watu wengi na kupata burudaniCLUB 7 DODOMA YATIKISA KWENYE UZINDIZI,WATU WAKANYAGANA NA WENGINE KUZUILIWA MLANGONI KUTOKANA NA CLUB HIYO KUJAA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin