Saturday, 25 July 2015

ZITTO KABWE ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU UKAWA NA EDWARD LOWASA.Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Liongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo ameandika ujumbe Mzito Kupitia Ukarasa leo Kuhusu Siasa za Tanzania Hasa Kipindi Hiki Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge Na Madiwani

Zitto Kabwe
2 hrs ·
Wiki ya kuanzia Jumatatu tarehe 27 Julai 2015 itashuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye siasa za Tanzania. Kuimarika kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni jambo jema kwa Nchi yetu.

ZITTO KABWE ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU UKAWA NA EDWARD LOWASA. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin