Thursday, 16 July 2015

WANAUME MPOO? FAHAMU TIBA MBADALA YA NGUVU ZA KIUME AMBAYO HAINA MADHARA KABISAA.

Matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume
ni moja kati ya tatizo sugu
linalowasumbua wanaume wengi sana na
hata kufanya wanaume hawa wasifurahie
mapenzi na hata tendo la ndoa. Tatizo hili
husababishwa sababu lukuki ikiwemo
upigaji punyeto uliokithiri,vyakula visivyo
na protini ya kutosha kama vile chips na
nafaka zilizokobolewa nk.
AYUVERDA ni tiba yenye asili ya kihindi
ambayo inasaidia sana katika
kurefusha,kunenepesha na kuupa nguvu
uume na mwili kwa ujumla,tiba hii
huangalia mambo muhimu kama
ulaji,usafi wa mwili,ufanyaji wa
mazoezi,afya ya akili,tabia za kiroho nk.
Tiba hii ni maarufu sana kwani ilianza
kutumika miaka elfu tano iliyopita na
hakuna madhara yoyote yaliyowahi
kuripotiwa juu ya tiba hii kwani ni salama
na haina madhara yoyote.

<<<NEXT>>>

WANAUME MPOO? FAHAMU TIBA MBADALA YA NGUVU ZA KIUME AMBAYO HAINA MADHARA KABISAA. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin