Tuesday, 21 July 2015

WAKUBWA TU!! TAZAMA VIDEO YA MWANADADA HUYU AKIFANYA MAPENZI ADHARANI>>>BOFYA HAPA KUITAZAMA>>>

Shoga, awali ya yote napenda kuwaasa kwamba ukifika muda wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura kwenye maeneo yenu, jitokezeni kwa wingi kujiandikisha ili mpate fursa ya kuwachagua viongozi mnaowataka akiwemo rais kwani bila kufanya hivyo hamtapata nafasi hiyo.
Baada ya kutoa rai hiyo, sasa ngoja nirejee kwenye jambo nililokusudia kuzungumza nanyi linalohusu dharau dhidi ya waume zetu tabia ambayo inafanywa na baadhi ya wenzetu.Shoga zangu, kama kuna kitu ambacho hakifai katika maisha yetu ni mtu kuwa na tabia ya dharau kwani inasababisha watu kutengwa na wengine.
Wapo watu ambao huwadharau wengine kwa sababu wamebahatika kupata elimu, kuwa na kazi nzuri, mali, umaarufu pamoja na madaraka.Hata hivyo, leo siwazungumzii hao isipokuwa shoga zetu walio kwenye ndoa wanaowadharau waume zao kwa sababu kadha wa kadha.
Wapo wenzetu kwa vile waume wao hawana fedha kama waume wa wenzao, au hawana magari na vitu vingine vya thamani huwadharau.Tena mbaya zaidi, wapo ambao hudiriki hata kuwaambia kwamba kama wangejua kama waume zao hawana uwezo wasingekubali kuolewa nao.
Ukiwaacha hao, kuna shoga zetu wengine kwa vile tu waume zao hawawanunulii nguo, viatu, mapambo na vitu vingine vinavyohusu wanawake mara kwa mara huwapa chakula cha usiku kwa masharti mithili ya mgawo wa umeme.
Shoga zangu mnaofanya hivyo, mnakosea sana kwa sababu fedha na mali ni vitu ambavyo mtu anaweza kuvipata wakati wowote Mungu anapoamua kumfungulia milango ya baraka.
Hebu, niwaulize ninyi mnaowadharau waume wenu kisa uwezo wao mdogo unaowafanya kula nyama kwa mwezi mara moja kwamba mnapowanyima tunda la mti wa katikati mnataka wakalipate wape?
Kwa taarifa yenu ni kwamba ninyi mnapowadharau waume wenu kwa sababu kadha wa kadha wenzenu wanawaonea wivu na kutamani kuolewa nao na wanaweza kutumia mpenyo wa ninyi kutowathamini kuwapora kisha mbaki mkilia na kuishia mkisema laiti mngejua! Bye

WAKUBWA TU!! TAZAMA VIDEO YA MWANADADA HUYU AKIFANYA MAPENZI ADHARANI>>>BOFYA HAPA KUITAZAMA>>> Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin