Thursday, 30 July 2015

WAKINA DADA HUU UTALAMU UTAWACOST SANA, HIVI INAKUWAJE UNAWEKA VIUNGO SEHEMU YA SIRI KAMA PILAU


Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus nikatumia dawa baada ya wiki tatizo likajirudia. Nimekuwa mtu wa kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed.
Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa lakini tatizo likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa. madaktari ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna wekundu mwingi sana badala ya rangi ya pink. 
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo imeshambuliwa na bacteria wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika bado ikashindikana kuwaua!
Baadae madaktari wa Muhimbili wakaniuliza ninavyofanya usafi katika sehemu zangu za siri na nikawambia ukweli kwamba, "NASAFISHA KWA KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI NA PAMBA NDANIILI UKKE UWE UMEBANA NA VINGINE VINGI tu tunavyoshauriana na wasichana (VIUNGA SEHEMU ZA SIRI).
Madaktari wakasema sababuya tatizo langu nimeua bakteria wote walinzi ndani ya ukke ndo maana nimmeshambuliwa na bacteria ambao hawaskii dawa
Ndugu zangu nilikuwa nikiunga sehemu za siri (ukke) kwa VIUNGO na naingiza kucha pamoja na sabuni ili uwe ubane na upendeze. Sasa nimeshauriwa nitoe kizazi katika umri wa miaka 29 kwani nikiacha itakuwa kansa. Najua mna ndugu zenu wa kike au wake zenu. Wape tahadhari juu ya hili.
My take: Hivi hadi uweke asali, vidole, pamba nk ndani ya ukkke ili ubane unatafuta nini? Kuna mashindano ya zinazobana, na wanawapa tuzo gani hadi utake risk kias hiki?

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2<<<

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>>

<<<NEXT 5>>>

WAKINA DADA HUU UTALAMU UTAWACOST SANA, HIVI INAKUWAJE UNAWEKA VIUNGO SEHEMU YA SIRI KAMA PILAU Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin