Monday, 13 July 2015

TAZAMA NYUMA YA PAZIA BUSHOKE AKISHOOT VIDEO NA MWIMBAJI MKUBWA WA UGANDA


IMG_2183

Muimbaji wa Bongo Flava, Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Face Off.IMG_2181

Bushoke amesema wimbo huo unaitwa ‘She Wants It’ na umeimbwa katika lugha tatu, Kiswahili, Kiingereza na Kiganda. Video imefanyika jijini Cape Town katika location tatu tofauti huku kampuni iliyohusika ikiitwa Dirty Soul. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo.
IMG_2182IMG_2187


IMG_2180

TAZAMA NYUMA YA PAZIA BUSHOKE AKISHOOT VIDEO NA MWIMBAJI MKUBWA WA UGANDA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin