Saturday, 11 July 2015

Polisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji........Wafuasi wa Lowasa Waamua KUTAMBAA Kupinga Jina Lake Kukatwa


Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu.
  
Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.
  
Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.
  
Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa.
Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

Polisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji........Wafuasi wa Lowasa Waamua KUTAMBAA Kupinga Jina Lake Kukatwa Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin