Saturday, 4 July 2015

NYUMBA YA LADY JAY DEE KUPIGWA MNADA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI LA MKOPO

Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada.

Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar yake ya M.O.G imefungwa muda sasa.

Tumuombee Anaconda maana anapita kwenye wakati mgumu sana sasa hivi

Chachu Ombara/ Jamii Forums

<<PICHA YA KWANZA HAPA>>

<<PICHA YA PILI HAPA>>>

<<PICHA YA TATU HAPA<<

NYUMBA YA LADY JAY DEE KUPIGWA MNADA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI LA MKOPO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin