Saturday, 11 July 2015

Magoli ya Mkono Yameanzia Robo Fainali, Shikamoo NAPENiliposikia Nape anazungumzia ushindi lazima hata kwa goli la mkono, binafsi niliona kama ucheshi/comedy,lakini kwa yaliyotokea Dodoma tokea mwanzo wa mchakato wa kuteua 5 bora, tayar wao kwa wao wameanza kulalamikiana juu ya faulo wanazochezeana.Tayari Bw. Kimbisa,Nchimbi, Mama Simba washamfunga paka kengere.Watoto wa mijini wanasema WAMEKINUKISHA.Kutokana na kuendekeza dhambi ya ubaguzi kwa wenzao(Wananchi & Vyama pinzani),sasa CCM imegeuka MBWA MWITU wanatafunana wao kwa wao.Narudia tena Shikamoo NAPE..

Magoli ya Mkono Yameanzia Robo Fainali, Shikamoo NAPE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin