Sunday, 12 July 2015

Machangudoa wa Sinza Mori Wezi, Wameniliza na Kunibakiza na Boxer Pekeee...Chukua Tahadhari

Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

By Mdau
 <<<NEXT>>>

Machangudoa wa Sinza Mori Wezi, Wameniliza na Kunibakiza na Boxer Pekeee...Chukua Tahadhari Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin