Tuesday, 28 July 2015

HIVI KWANINI BAADHI YA WANAWAKE WANAJICHUBUA WAWE KAMA WAZUNGU?>

Kuna jambo linanishangaza sana, ni hivi kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujichubua ngozi na kutumia mikorogo,makalorite, hili wawe weupe na wafanane na wazungu.
Lakini sijawahi kumuona mwanamke wa mzungu akijichubua eti awe mweusi kama msichana wa Kiafrika.
Hivi kuna shida gani hapa wakuu?

HIVI KWANINI BAADHI YA WANAWAKE WANAJICHUBUA WAWE KAMA WAZUNGU?> Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin