Sunday, 19 July 2015

Hii Dhambi Hata Shetani na Laana zake Sijawahi Kusikia Kaitenda

Jamani swala la ushoga na usagaji na mapenzi kinyume na maumbile limezidi kukua kwa kasi ya ajabu sana. Hata Mbuzi, Kuku, Mbwa na wanyama wengine sijawahi kushuhudia wakipandana wakiwa wote na jinsia moja au kinyume na maumbile.

Ila mwanadamu alie umbwa kwa utashi wa kujua baya na jema anatenda jambo hiloo. Mungu hakukosea kutupa utashi ila ule utashi baadhi ya binadamu wanautumia ovyo.Uwezo wa kufikiri na kujua baya na jema unatumiwa vibaya kwa watu kupenda yale yote maovu na kuyaacha yale mazuri.

Hakuna cha hormones za kike wala nini tatizo ni tamaa ya kujaribu kila jambo hasa yale yaliyopigwa marufuku katika jamii. HORMONES unashindwaje kujizuia ukalale wa mtu wa jinsia yako? Si kuna wanawake na kuna wanaume kwanini uchague wa jinsia yakoo usichague wa jinsia tofauti kukidhi haja zako.

Ina maana una hormones nyingi kushinda mwanamke enyi mashoga au enyi wasagaji mna hormones nyingi za kiume kushinda wanaume? Hizo ni tamaa za kujaribu kila kitu.Umesha ambiwa hilo jambo ni baya kwanini unashindwa kujizuia.

Ushoga na usagaji mtapataje watoto.? Watu wa jinsia moja kamwe hawawezi kuzaa.Ni kunyima haki za viumbe wengine. Hiyo ni laana na mtajua siku ya mwisho. Tatizo ni kuiga kila jambo mnaloliona na kutakakulijaribu. Hili jambo nilakulikemea kwa nguvu sana.

Hata shetani na usaliti na dhambi zake zote hajawahi kuwa shoga. Ila yule binadamu anadiriki ilo jambo. Sio kila la mzungu kujaribu. pia sio mila na desturi zetu hata kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile yake ni kosa nani laana pia.

KEMEA MAPENZI YA JINSIA MOJA NA WOTE WANAOPENDA KUTUMIA MLANGO WA MBOLEA NI LAANA

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<NEXT 3>>>

<<<<NEXT 4>>>

<<<NEXT 5>>>

Hii Dhambi Hata Shetani na Laana zake Sijawahi Kusikia Kaitenda Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin