Saturday, 18 July 2015

EXCLUSIVE KUTOKA KWA HEMED SHABIBY MBUNGE WA GAIRO...ADONDOSHA MABASI MAPYA MITHILI YA NDEGE.. YAZIZIMA DODOMA BAADA YA KUWASILI, USHAHIDI HUU HAPA

 

Exclusive. #Shabiby Shikamoo... Nikisema Shabiby nadhani kila mtu atakuwa anamfahamu, Ila kwa wale ambao hawamfahamu Shabiby ni Mbunge wa Gairo ambaye ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania, Yani katika ile Top 20 ya matajiri na yeye yupo hapa katika katikati>>>>
Picha hapo ni mmoja wapo ya Basi mpyaa za @Shabiby_Bus kati ya 4 ambazo zimeingia leo.. Yani ni mpyaaaa kabisa na za kushangaza kama sio kustajabisha,Na Kitu cha tofauti nilichokiona ktk basi hizo 4, Sifa ya kwanza kila #seet ina#Tv halafu #Tv zote ni #Touch_screen, Kuna sehemu ya kuweka #flash au #memory #card, #screen zote zina -#Earphone na pia kuna #system #charge ambayo unaweza kucharge #Cm au #laptop na pia katika kila #seet ina Meza ya chakula na sehemu ya kuweka #laptop ... Pia katika safari zake utapata huduma ya #misos pamoja na #bites kutoka #hotel mpya ya #morena.. Pia katika safari zake zote hakuna kusimama njiani kwa sababu humo humo ndani kuna sehemu ya kuchimbia dawa....
HAPO VIP UNA SWALI LOLOTE LA KUMUULIZA SHABIBY??? TOA MAONI YAKO HAPAEXCLUSIVE KUTOKA KWA HEMED SHABIBY MBUNGE WA GAIRO...ADONDOSHA MABASI MAPYA MITHILI YA NDEGE.. YAZIZIMA DODOMA BAADA YA KUWASILI, USHAHIDI HUU HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin