Tuesday, 7 July 2015

DUH KWELI PESA SIO TU SABUNI YA ROHO BALI NI SABUNI YA MWILI HATA UWE UMEFUBAA VIPI UKIKAMATA SALIO LAZIMA UNG'AE AISEE HEBU JIONEE MASTAA HAWA KABLA HAWAJA KAMATA HELA JINSI WALIVYOKUWA DUH MMMMH TAZAMA HUMU>
USHIRIKINA WATIKISA DODOMA WAGANGA WA JADI WAPIGANA VIKUMBO KILA KONA KILA MGOMBEA ADAIWA KUWA NA MGANGA WAKE ILI APULIZE KUISHAWISHI KAMATI KUU YA CCM KUMTEUA KWENYE TANO BORA KISHA NEC WAMCHAGUE...! Posted by maskani bongo at 12:02 AM Mh Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete ambae atakuwa mmoja wa watu watakaoongoza uteuzi wa mgombea urais 2015 na tayari kazi hiyo inatarajia kuanza mapema. Dokta Kamdege ambae ni mtaalam wa miti shamba ambae imeelezwa yupo Mkoani Dodoma akiwa kafichwa kwenye Hotel moja ya Kifahari akimfanyia mambo mmoja wa wagombea mwenye mvuto mkubwa wananchi na ndani ya CCM. Dokta Manyaunyau nae imeelezwa yupo Mkoani humo nae kafichwa huku akifanya mambo usiku na mchana kuhakikisha bosi wake anateuliwa na kamati kuu ya ccm. "Filamu ya Wake Up iko tayari na hii ni demo yake ebu bofya hapa kuiona" Na Mwandishi Wetu- maskanibongotz Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua uchunguzi ulifanywa na mtandao huu wa maskanibongotz imebaini kuwa hali si swali Mkoani Dodoma kutokana utitiri wa waganga wa kienyeji wanadaiwa kuletwa na na baadhi ya wagombea katika kiti cha urais ili wawafanyie mambo. Habari za uhakika toka kwa kwa chanzo chetu cha kuaminika kilisema " Jamani hali si ni mbaya kwenye mji wetu kwani kila kona wanaonekana waganga wa kienyeji wakiranda hasa nyakati za usiku na tunaambiwa kuwa wapo hapa kwa kazi maalum ya kuwafanyia mambo wagombea urais" Kilisema chanzo hicho Credi: Maskanibongotz Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

DUH KWELI PESA SIO TU SABUNI YA ROHO BALI NI SABUNI YA MWILI HATA UWE UMEFUBAA VIPI UKIKAMATA SALIO LAZIMA UNG'AE AISEE HEBU JIONEE MASTAA HAWA KABLA HAWAJA KAMATA HELA JINSI WALIVYOKUWA DUH MMMMH TAZAMA HUMU> Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin