Tuesday, 23 June 2015

WEMA SEPETU AFUGUKA NA KUSEMA AKIWA BUNGENI HATAONGEA KWA KUROPOKA KAMA WENGI WANAVYODAI


<WATCH THIS VIDEO RAIS WA S.A AKICHEZA SANKORO YA MONDI>

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa  kuwa wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.

Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia  kwamba watu wengi wanakubali awe bungeni.


<<<TAZAMA MPYA KUTOKA KWA ZARI>>>

  • “Nafurahi kwa kuwa wengi wameshanipeleka bungeni wakati mimi ndiyo kwanza nipo katika harakati  za kuomba kuchaguliwa kupitia umoja wa wanawake Singida , lakini nafurahia kwa kuwa inaonyesha wengi wananikubali,  ila nikipitishwa kuwawakilisha wana Singida bungeni sitaongea kama walivyonirekodi katika sauti hiyo,” alisema Wema kwa furaha.

     <<WEMA SEPETU & ANTI EZEKIEL WAONYESHA SHANGA ZAO>>

WEMA SEPETU AFUGUKA NA KUSEMA AKIWA BUNGENI HATAONGEA KWA KUROPOKA KAMA WENGI WANAVYODAI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin