Friday, 19 June 2015

UNA NDIMU, LIMAO, AMA VINEGAR??? KAMA HAUMPENDI HII ITAKUHUSU


siku hizi ukiwa na baby lazima ajiweze
Habariiiii ya mujini, town na vitongoji vyake, siku hizi ukiwa na baby lazima awe na ankara sio  kila siku kupiga mizinga tuuu oooh baby naomba hela ya salon mara vile natakiwa kwenda ngomani inahuuuuuu? siku hizi wanaume wanajua pakujiweka shosti weeee si kwa matonya style hebu niishie hapo ...... je wewe mwenzangu unachagua nini kati ya ndimu, limaoama vinegar shosti mie nimechagua ndimu.....


KUMBE MARTIN KADINDA HUWA ANAMKUNAGA WEMA SEPETU PINDI AWASHWAPO<<>> USHAHIDI HUU HAPA

UNA NDIMU, LIMAO, AMA VINEGAR??? KAMA HAUMPENDI HII ITAKUHUSU Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin