Sunday, 28 June 2015

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUPIA PICHA ZA KIMAHABA MTANDAONI BOFYA HAPA KUZITAZAMA


Mwigizaji na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yaowakiwa uchi.
Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona watu wengi wanamshabulia aliamua kuibandua.
Wapo walioona kuwa kitendo alichokifanya Mziwanda labda ni kutokana na umri wake hivyo hayo ni baadhi ya matokeo ya kuwa na mahusiano na mtu mtoto.
Lakini pia wapo walioona kuwa wawili hawa wanatafuta KIKI tu ili media za hapa Bongo ziwazungumzie kama Zari na Diamond, ila pia wapo amabo wanaona hii iko poa na haina tatizo
 PICHA NYINGINE

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUPIA PICHA ZA KIMAHABA MTANDAONI BOFYA HAPA KUZITAZAMA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin