Monday, 29 June 2015

SASA NDIO MKEO AU GIRLFRIEND KAMTUMIA MWANAUME MWINGINE PICHA ZA xxx UTAMFANYA NINI SASA?

Wakuu naombeni ushauri... nimeishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka kama 10 hivi sasa. Ila ndani ya muda huo ndani kumekuwa na migogoro ya hapa na pale ya kutoaminiana. Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini juzi kati hivi, katika pita pita yangu nikgundakuna mwanaume yupo nae busy ofisi kwake.

Nilipomuuliza akaribu kutoa utetezi ambao sikuridhika nao, nikaanza kumfutilia kimyakimya kenye simu zake n email zake. Siku ya siku nikkutana na chats kwenye whatsap baina yake na uyo mwanaume.. na mke wangu kimtumia huyo mwanume picha zake akiwa mtupu kigia kwenye kitanda chetu...

Hebu nipeni ushauri, maana hatua ya kwanza niliyoichukua ni kumrudisha kwa wakati natafakari maamuzi ya kudumu. Mpaka sasa yupo kwa mjomba wake..

Advice please guys!!! 
 

<<<<BONYEZA HAPA>>>

SASA NDIO MKEO AU GIRLFRIEND KAMTUMIA MWANAUME MWINGINE PICHA ZA xxx UTAMFANYA NINI SASA? Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin