Friday, 12 June 2015

NAY WAMITEGO, PAM D WAGANDANA KIMAHABA UKUMBINI!


 
Nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ wakiwa kimahaba. Jumanne iliyopita, Nay alijikuta akisherehekea siku hiyo bila kuwa na hekahaka ambapo mapaparazi wetu walimkuta kwenye Studio ya De Fetality ya Mensen Selekta iliyopo Sinza ya Madukani, Dar na baadaye alijikuta akiloweshwa maji na prodyuza wake, Tee Touch.


Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Baruti, Dar, mwaka huu huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu.

NAY WAMITEGO, PAM D WAGANDANA KIMAHABA UKUMBINI! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin