Friday, 19 June 2015

MUUZA NYAGO MAARUFU AGNESS MASOGANGE AJITAPA NA MAKALIO YAKEMuuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita.
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita amejitapa kumpora bwana muuza nyago mwenzie, Agness Gerald ‘Masogange’ na kusababisha wawili hao kuingia kwenye bifu zito.Sosi aliye karibu na wauza nyago hao alisema kuwa bifu walilonalo linamhusu bwana aliyetajwa kwa jina moja la Said ambaye makazi yake ni nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’.

KUMBE MARTIN KADINDA HUWA ANAMKUNAGA WEMA SEPETU PINDI AWASHWAPO<<>> USHAHIDI HUU HAPA

“Said ndiye aliyekuwa akimpa ‘good time’ Masogange alipokuwa Sauzi ambapo alikuwa akiishi maisha mazuri na baada ya kutibuana mwanaume huyo alihamishia majeshi kwa Tunda, kitendo kilichomuumiza Masogange ambaye walianza kurushiana matusi mtandaoni,” alisema sosi huyo.


AMAZING..TAZAMA VIDEO WATANGAZAJI WA TAARIFA YA HABARI WAKITANGAZA WATUPU BILA NGUO

 

Baada ya habari hiyo kutua kwenye Dawati la Ijumaa, mwandishi wetu alimsaka Masogange ambaye alikuwa mkali na kusema kuwa yeye hamfahamu Tunda wala hapendi kusikia habari hizo.
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Agness Gerald ‘Masogange’.
“Kwanza simjui huyo Tunda wala sitaki kujua habari zake hata kidogo, naomba mniache,” alisema Masogange.


HUTAAMINI WANAFUNZI HAWA WA CHUO WALIVYO AMUA KULIVUNJA JUGU DUH BALAA HIKI KIZAZI KINA MIKASA!!!

 

Tunda aliposomewa mashtaka yake alikiri kugombana na Masogange na kusema mwanaume huyo alipomfuata alimwambia walishaachana na Masogange hivyo yeye hana kosa.
“Said aliniambia wala sikujua kama alikuwa na Masogange, alisema walishaachana hivyo atulize presha hakuna sababu ya kuwapa watu faida,” alisema Tunda.

TAZAMA WEMA SEPETU MBUNGE MTARAJIWA AKIWA JUKWAANI HUKO SINGIDA AKIOMBA KUPIGIWA KURA

MUUZA NYAGO MAARUFU AGNESS MASOGANGE AJITAPA NA MAKALIO YAKE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin